Submissions

Login or Register to make a submission.

Author Guidelines

Wakati wa uandishi wa makala mwandishi azingatie na kufuata yafuatayo:

  • Urefu wa makala uwe baina ya maneno 3,500 hadi 7,000 yakijumuisha ikisiri na marejeo.
  • Ikisiri iwe na maneno baina ya 200 na 300 na ifuatiwe na maneno muhimu yasiozidi matano.
  • Makala iandikwe kwa lugha ya Kiswahili Sanifu.
  • Makala itumie mtindo wa hati za Times New Roman zenye ukubwa wa nukta 12, nafasi baina ya mistari iwe 1.5.
  • Vichwa vya habari katika matini viandikwe kwa muwala kwa kuzingatia viwango (Angalia Mfano, Kichwa cha habari kikubwa, 1.1 Kichwa cha habari kiwango cha pili, na 1.1.1 Kichwa cha habari kiwango cha tatu.
  • Makala itumie mtindo wa APA toleo la 7

Submission Preparation Checklist

Orodha Hakiki  Kabla ya kuwasilisha Mswada (Checklist before Submission)

  • Jina/majina kamili ya waandishi yaandikwe kwa kuanza na jina la kwanza, la kati na la mwisho.
  • Iwapo mwandishi ni zaidi ya mmoja, waandikwe kwa kuanza na mwandishi wa kwanza pamoja na barua pepe zao.
  • Waandishi wote waliotajwa katika msawada kuwa waandishi lazima wakubali kutambulika kama waandishi katika makala.
  • Makala yenye zaidi ya mwandishi mmoja, aainishwe mwandishi wa mawasiliano.
  • Hakikisha jedwali na vielelezo vyote vimepangwa na kupewa nambari na majina.
  • Ikiwa mwandishi ametumia picha au vielelezo vyovyote vinavyohitaji ruhusa kwa wahusika mwandishi anawajibika kuomba ruhusa ya kutumia vielelezo hivyo kabla ya kuwasilisha mswada.

All submissions must meet the following requirements.

  • This submission meets the requirements outlined in the Author Guidelines.
  • This submission has not been previously published, nor is it before another journal for consideration.
  • All references have been checked for accuracy and completeness.
  • All tables and figures have been numbered and labeled.
  • Permission has been obtained to publish all photos, datasets and other material provided with this submission.

Articles

Section default policy

Privacy Statement

Taarifa binafsi za majina na anwani za barua pepe zinazowekwa kwenye tovuti ya jarida hili zitatumika kwa madhumuni rasmi tu yaliyotajwa na jarida na hazitatumika kwa matumizi mengine yoyote, wala kwa mtu au taasisi nyingine.